Kimbunga JOBO kimepunguza nguvu Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA imesema Kimbunga JOBO kimepunguza kasi mara baada ya kuingia kwenye mazingira ya upepo kinzani hivyo kwasasa kimbunga hicho ni hafifu. Read more about Kimbunga JOBO kimepunguza nguvu