Meya adakwa na TAKUKURU arejesha fedha Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro imerejesha shilingi milioni 150 zilizokwapuliwa na Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu katika Benki ya Ushirika ya KCBL mkoani humo. Read more about Meya adakwa na TAKUKURU arejesha fedha