Dereva wa bodaboda Babati ambaka mwanafunzi 

Kamanda wa Polisi Manyara Paul Kasabago

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 15, mwanafunzi wa shule ya sekondari Kwang iliyopo Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara ambaye jina lake limehifadhiwa amebakwa na dereva pikipiki maarufu kama bodaboda majira ya asubuhi wakati akienda shule kisha dereva huyo kukimbia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS