Shilole athibitisha kufunga ndoa na Rommy 

Msanii Shilole na Mume wake Rajab Issa

Msanii Zuwena Mohamed 'Shilole' amethibitisha kufunga ndoa ya siri na mume wake Rajab Issa maarufu kama Rommy kama ambavyo ilikuwa inaelezwa na baadhi ya vyombo mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS