Dube amefunga tena, Azam yabanwa mbavu na Dodoma

Prince Dube amefikisha mabao 11 ya VPL msimu huu

Klabu ya Azam FC imetoshana nguvu na Dododma jiji FC kwa kutoka sare ya mabao 2-2, katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa katika dimba la Jamuhuri Dododma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS