Majibu ya Kafulila kuhusu upinzani kuminywa

David Kafulila.

Aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema kuwa upinzania kuminywa au kutominywa ni mtazamo tu ambao unaweza ukatumika kama nafasi ya kufanya vizuri zaidi au pia ukatumika vinginevyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS