Askari akutwa na hatia ya kumuua George Floyd Aliyekuwa Afisa wa Polisi mjini Minneapolis Marekeni Derek Chauvin akiwa ameshikiliwa na askari. Aliyekuwa Afisa wa Polisi mjini Minneapolis Marekeni Derek Chauvin, amekutwa na hatia ya kumuua George Floyd. Read more about Askari akutwa na hatia ya kumuua George Floyd