Messi hakamatiki aweka rekodi mpya La Liga
Mshambuliaji na nahodha wa FC Barcelona Lionel Messi ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 25 kwenye ligi kuu nchini Hispania kwa micimu 12 mfululizo, mshambuliaji huyo amefikia rekodi hiyo baada ya kufunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Getafe.