Prof. Kitila atoa maelekezo BRELA
Serikali imewataka watumishi kutoka Wakala wa usajili na utoaji leseni za biashara BRELA kuongeza kasi, kuboresha mahusiano kwa wafanyabiashara sambamba na kuweka taarifa zote sahihi endapo mtu anahitaji kufungua kampuni ama kuanzisha biashara.