"Nilijiangalia nikaona ufupi huu sitoboi"- Ebitoke
Unakumbuka Mchekeshaji Ebitoke alipotangaza kugombea kushiriki shindano la Miss Tanzania 2020, sasa msanii huyo amefunguka kusema shindano hilo lilimshinda kwani alijiangalia kwenye kioo akasema kwa ufupi alionao asingeweza kushinda.