Serikali yatoa majibu upungufu wa mafuta ya kula

Mafuta ya kula

Serikali imesema mahitaji ya mafuta ya kula nchini yanakadiriwa kuwa tani 570,000 kwa mwaka na uzalishaji wake nchini unakadiriwa kufikia wastani wa tani 205,000 na kufanya upungufu wa wastani wa tani 365,000 kwa mwaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS