Rais wa Chad Idriss Deby auawa na waasi Aliyekuwa Rais wa Chad Idriss Deby Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby (68) amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Read more about Rais wa Chad Idriss Deby auawa na waasi