''Presha ni kubwa sana msimu huu''Haruna Niyonzima

Kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima akizungumza na Waandishi wa Habari.

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa presha ni sehemu ya mchezo wa mpira wa miguu jambo ambalo hana hofu nalo katika historia yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS