Man City yampoteza Mbappe, takwimu zake ni aibu Kylian Mbappe Mshambuliaji nyota wa PSG Kylian Mbappe amepewa alama 3 kati ya 10 katika makadirio ya viwango vya ubora katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya pili Ligi ya Mabingwa ulaya. Read more about Man City yampoteza Mbappe, takwimu zake ni aibu