"Watanzania tujifunze kushukuru"- Mufti
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zuberi amewataka Watanzania kufanya ibada ya shukrani baada ya mwenyezi Mungu kuepusha madhara ambayo yangeweza kuikumba nchi kama Kimbunga Jobo kingejitokeza kama ilivyotarajiwa.