Muswada wa sheria kuhusu uvunaji wa figo
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema serikali inaandaa muswada wa kutunga sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji utunzaji na upandikizaji wa viungo vya binadamu kama Figo na Moyo.