Henry na Shearer washinda tuzo ya heshima EPL
Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle United Alan Shearer na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry wamekuwa wachezaji wawili wa kwanza kutunukiwa tuzo ya heshima ya juu ya soka kwenye Ligi Kuu nchini England (Hall of Fame).