Suala la Wazee lachelewesha muswada bungeni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Ummy Mwalimu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Ummy Mwalimu amesema moja ya jambo lililowachelewesha kuleta muswada wa bima ya afya ni suala la kuunganisha huduma za wazee na bima ya afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS