“Mashabiki Simba ondoeni hofu tutamalizana na FCC”
Kikosi cha Simba kinachofanya vizuri kwa sasa licha ya mchakato wake wa mabadiliko kutokukamilika
Mwenyekiti wa klabu ya Simba kutoka upande wa wanachama Murtaza Mangungu, amewataka mashabiki wao kutokuwa na hofu yeyote katika suala la FCC kwa kuwa wanalifuatilia kwa ukaribu.