Serikali yaeleza hili kushuka kwa bei ya vifurushi
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Kundo Mathew amesema serikali inaagalia namana inaweza kuleta uwiano kati ya watumiaji wa huduma, serikali na watoaji wa huduma katika suala zima la kushusha vifurushi vya mawasiliano kwenye simu.