Makubwa yaliyojiri Barcelona akichapwa El Clasico
Klabu ya soka ya Real Madrid imejiweka pazuri kwenye mbio za kusaka taji la Ligi kuu nchini Hispania baada ya usiku wa Aprili 10, 2021 kuwafunga wapinzani wao Barcelona magoli 2-1 kwenye mchezo uliopigwa Santiago Bernabeu.