Waziri Mwigulu atoa maagizo kwa TRA Nchi nzima

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwingulu Nchemba

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwingulu Nchemba, ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kutumia weledi na kuzingatia sheria katika kukadiria kodi kwa wafanyabiashara ili kulinda walipa kodi na kutanua wigo wa walipa kodi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS