Haaland hauzwi - Michael Zorc Mkurugenzi Dortmund

Erling Haaland

Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imemwambia wakala wa mshambuliaji wa timu hiyo Erling Haaland Mino Raiola kuwa mchezaji huyo hauzwi kwa sasa. Lakini hali hiyo inaweza kubadilika endapo kama klabu hiyo haita shiriki ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS