5 wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji

Washitakiwa wa kesi ya mauaji  namba 84 ya mwaka 2014, ya Alice Mtokoma (56) a wakiwa wameongozana na Polisi.

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, iliyofanya kikao chake mkoani Njombe, imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji  namba 84 ya mwaka 2014,  ya Alice Mtokoma (56) mkazi wa kijiji cha Usalule, wilayani Wanging’ombe  mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS