Taarifa kamili kuhusu hali ya Gerard Pique

Mlinzi mkongwe wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Gerrard Pique umerejea kikosini na kufanikiwa kufanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzanke asubuhi ya leo siku ya Jumatano tarehe 31 Machi 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS