Polepole ahoji kuhusu kulinda soko la China Mhe. Humphrey Polepole Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Humphrey Polepole amehoji Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuhusu namna gani imejipanga kulilinda soko la Soya Bean ambalo kwa sasa linahitaji zaidi ya tani laki nne. Read more about Polepole ahoji kuhusu kulinda soko la China