Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi wanne Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wanne. Uteuzi umeanza Machi 29, 2021. Read more about Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi wanne