Tuesday , 30th Mar , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wanne. Uteuzi umeanza Machi 29, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

1. Dkt. Frolencs Turuka - Mkiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma.

2. Dkt. Richard Masika - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo (TEMDO).

3. Dkt. Blandina Lugendo - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA).

4. Bi. Paulina Nkwama - Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu.