Sura mbili za Benzema ndani ya Ufaransa
Mshambuliaji Karim Benzema ameligawa taifa la Ufaransa kwa sasa kuliko muda wake wote wa maisha yake ya soka, hii ni kutokana na kocha wa timu hiyo Didier Deschamps kusisitiza kauli yake kutomjumuisha tena katika kikosi cha timu ya taifa.