'Hakipigwi hadi wiki mbili zipite' - TFF
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) imesimamisha mechi zote za ndani ya nchi kwa kipindi cha wiki mbili ili kuungana na Watanzania kuombeleza msiba wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli kilichotokea jumatano ya tarehe 17/03/2021.