Said Ndemla na Ditram Nchimbi watemwa Taifa Stars 

Kiungo wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Said Hamis Ndemla.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, Kimeweka wazi kikosi cha Taifa Stars kitakachosafiiri leo kuelekea nchini Equatorial Guinea kwa ajili ya mchezo dhidi ya taifa hilo wa kuwania nafasi ya kufuzu michuano ya AFCON ya mwaka 2021 nchini Cametroon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS