Abalora apeta ndani ya Black Stars

Razak Abalora golikipa wa zamani wa AZAM

Aliyekuwa golikipa wa zamani wa Azam Razak Abalora amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana 'Black Stars' kwa ajili ya michuano ya kufuzu AFCON.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS