Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifuta machozi wakati akiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, leo amemwaga chozi wakati akimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, aliyefariki dunia Machi 17, 2021, kwa maradhi ya moyo.