Saturday , 20th Mar , 2021

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, leo amemwaga chozi wakati akimuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, aliyefariki dunia Machi 17, 2021, kwa maradhi ya moyo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifuta machozi wakati akiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli

Mh. Majaliwa ambaye alikuwa ameongozana na viongozi wengine wakitanguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Samia Suluhu Hassan, walifika katika uwanja wa Uhuru kuaga mwili wa Hayati Dkt, Magufuli, ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi hilo Jijini Dar es Salaam.

Tazama video hapa chini