Magufuli alivyoiinua taaluma ya uandishi- Balile

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe  Magufuli

Mwanasheria na Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, ameeleza mchango mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe  Magufuli, katika sekta ya habari kuwa ni kuhakikisha uandishi wa habari unakuwa na viwango.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS