Maneno ya Kala kabla ya kifo cha Rais Magufuli

Dkt John Pombe Magufuli, kushoto ni msanii Kala Jeremiah

Kupitia EATV & EA Radio Digital, msanii wa HipHop na Mwanaharakati Kala Jeremiah aliwahi kusema ni ngumu kumpata Kiongozi kama Rais Dkt John Pombe Magufuli endapo kama ataaondoka madarakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS