Manchester United, AC Milan na Arsenal vilio tupu

Kombe la michuano ya UEFA EUROPA ligi la msimu huu wa mwaka 2020-2021.

Michuano ya UEFA Europa ligi inataraji kuendelea usiku wa leo kwa michezo nane ya mtoano hatua ya 16 bora huku Manchester United na Arsenal zote za England zikitaraji kuwakosa nyota wake kadhaa kutokana na wachezaji hao kupata majeraha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS