Ajali msafara wa Makamu wa Pili wa Rais Znz

Moja ya picha za ajali

Gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari katika msafara wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla limepata ajali katika eneo la Mtule wakati wakielekea Mkoa wa Kusini Unguja katika ziara ya makamu huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS