Moja ya picha za ajali
Taarifa kutoka Zanzibar zinasema jumla ya watu watano walikuwamo kwenye gari hilo ambapo wanne miongoni mwao wamejeruhiwa na mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Khamis Machenge amefariki dunia.
Gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari katika msafara wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla limepata ajali katika eneo la Mtule wakati wakielekea Mkoa wa Kusini Unguja katika ziara ya makamu huyo.