Simba SC yatoa tamko ikisubiri uchunguzi wa CAF
Klabu ya soka ya Simba SC kupitia kwa taarifa iliyotolewa na Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez, imethibitisha kutuma barua ya malalamiko kwa Shirikisho la Soka barani Afrika juu ya wachezaji wawili wa El Merrikh.