
Wachezaji wa Simba SC wenye jezi nyeupe na El Merrikh wenye jezi nyekundu.
Simba imeeleza kuwa wachezaji hao wamechezeshwa kwenye mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya El Merrikh dhidi ya Simba SC uliopigwa Sudan Jumamosi Machi 6 na kumalizika kwa sululu.
Simba imefafanua kuwa wachezaji hao Ramadan Ajab na Bhakiet Khamis, walifungiwa kwa miezi 6 kuanzia Januari 21, 2021 kutokana na kosa la kusajili timu mbili tofauti.
Taarifa ya Simba SC