Mawakili watakaofanya haya kuchukuliwa hatua
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole, kimemshukuru Jaji wa Mahakama Kuu Dkt. Ntemi Nimilwa Kilikamajenga, kwa kuahidi kuwashughulikia Mawakili watakaolalamikiwa kufanya kazi zao bila weledi.