"Mwanaume mpe pesa mwanamke, sio kuhonga" - Careen
Baby Mama wa Barakah The Prince, mrembo Careen Simba
Baby Mama wa msanii Barakah The Prince ambaye ni Video Vixen Careen Simba amesema ni jukumu la mwanaume kumpa pesa mpenzi wake na anavyompa sio kama ana muhonga bali ni kumlinda na kumudumia.