Ujumbe mzito wa Harmonize kwa watoto wa kike
Kuelekea siku ya wanawake duniani, msanii Harmonize ametoa wosia kwa watoto wote wa kike ambapo amewaambia wawe na maamuzi sahihi kwa wanachotaka kufanya kwenye maisha kwa sababu hakuna kitu kipya kwenye dunia.