"Kwa mjengo huu bado tunajaribu" - Jux

Picha ya Jux na mjengo wake mpya

Msanii wa BongoFleva Juma Jux amesema anapenda sana nyumba nzuri hivyo hata ule mjengo wake mpya anao-post Instagram anaona bado hajafikia nyumba ambayo anataka iwe ya ndoto zake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS