
Picha ya Jux na mjengo wake mpya
Jux amesema mjengo wake wa sasa upo vizuri lakini bado anajaribu kujenga nyumba nyingine zaidi ya hiyo
"Ile bado sio nyumba ya ndoto yangu na ambayo nataka kuishi japo tunajaribu tu kidogo na Mungu katujaalia, pale nakaa ndiyo lakini sio nyumba ya ndoto yangu mimi napenda sana nyumba na vitu vizuri, bado naendelea kupambana ili kufikia nyumba ambayo nataka niwe nayo" amesema Jux
Mtazame hapa Jux akizungumzia hilo.