Mama afunguka alivyotumia Mkorogo kwenye matiti
Dkt Elizabeth Kilili 'mama wa neema' amefunguka kusema yeye alikuwa mhanga wa kutumia mchanganyiko wa vipodozi katika kipindi cha miaka 18 iliyopita hala ambayo ilimletea madhara makubwa kwake, mtoto wake na mumewe.