Idadi wanawake kwenye uwekezaji ni kubwa

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amesema kwa sasa idadi ya wanawake ni kubwa mno katika uwekezaji wa viwanda hivyo, kuwataka wengine ambao hawajajisajili kukamilisha baadhi ya taratibu ili watambulike rasmi katika sekta hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS