"Nilikuwa mdogo na mjeuri mnisamehe" - Mwana Fa

Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga na msanii Mwana Fa

Unaukumbuka ule wimbo wa dume suruali wa Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga na msanii Mwana Fa, kama unaukumbuka ishu iko hivi Mwana Fa ameomba msamaha kutokana na baadhi ya lines zake alizoimba kwenye wimbo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS