Liverpool marufuku kuingia Ujerumani kucheza UCL

Klabu ya Liverpool hairuhusiwi kuingia nchini Ujerumani kutokana na maambukizi ya Covid- 19 kuongezeka nchini England

Mabingwa wa England klabu ya Liverpool, haitaruhusiwa kuingia nchini Ujerumani kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya hatua ya 16 bora dhidi ya RB Leipzig, kutokana na vizuizi vilivyowekwa na taifa la Ujermani kwa wageni kutoka England ikiwa ni hatua za kujikinga na Covid 19.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS